Jinsi ya ku promote YouTube Chanel Yako watu waka ifahamu kwa wingi ?
Kitu cha Umuhimu kabla sija anza kuongolea Njia za kuweza promote YouTube Channel yako watu waka ifahamu kwa wingi nakukuongezea Views pamoja na Subscribe. Kwanza ni wewe mwenyewe kuwa serious katika kuhakikisha haupotezi muda mwingi kungoja Views au Subscribe zikufuate wewe . Watanzania wengi tuna utamaduni wakuingia kwenye Biashara hizi za mitandao kwa lengo la kujaribu na sio kuanza kazi kama ziivyo kazi zingine hapo ndipo tunapo kosa userious katika biashara hizi za mitandao na kuambulia nothing. Kitu cha Umuhimu katika Biashara hizi za Mitandao ni the way ulivyo serious ndivyo hivyo hivyo utakapo nufaika kulingana na u serious wako, Ukishatia nia ya kusema tu kwamba eti embu ni jaribu basi unakuwa kama unacheza kwasababu huwezi kuyaona mafanikio katika kazi hizi za mitandao kwa njia hiyo ya kujaribu. Ninapo Sema kuwa serious simaanishi kwamba uache shughuli unayo fanya na hivyo basi nguvu zote ukazielekeza kwenye mitandao ,hapana bali naamanisha Unatakiwa ku ...