Posts

Jinsi ya ku promote YouTube Chanel Yako watu waka ifahamu kwa wingi ?

Image
Kitu cha Umuhimu kabla sija anza kuongolea Njia za kuweza promote YouTube Channel yako watu waka ifahamu  kwa wingi nakukuongezea Views pamoja na Subscribe. Kwanza ni wewe mwenyewe kuwa serious katika kuhakikisha haupotezi muda mwingi kungoja Views au Subscribe zikufuate wewe . Watanzania wengi tuna utamaduni wakuingia kwenye Biashara hizi za mitandao kwa lengo la kujaribu  na sio kuanza kazi kama ziivyo kazi zingine hapo ndipo tunapo kosa userious katika biashara hizi za mitandao na kuambulia nothing. Kitu cha Umuhimu katika Biashara hizi za Mitandao ni the way ulivyo serious ndivyo hivyo hivyo utakapo nufaika kulingana na u serious wako, Ukishatia nia ya kusema tu kwamba eti embu ni jaribu basi unakuwa kama unacheza kwasababu huwezi kuyaona mafanikio katika kazi hizi za mitandao kwa njia hiyo ya kujaribu. Ninapo Sema kuwa serious simaanishi kwamba uache shughuli unayo fanya  na hivyo basi nguvu zote ukazielekeza kwenye mitandao ,hapana bali naamanisha Unatakiwa ku draft ratiba y

Zijue Njia za Kienyeji katika Kuongeza YouTube Views na Subscriber ??

Image
Tunapo Ongelea njia za kienyeji katika kuongeza Youtube Viewers na Subscribe nina maanisha njia zisizo rasmi zinazo weza kukuongezea View na Subscriber. Subscriber   ni   nini. Subscribe haina maana ya mbali sana na neno Followers  (wafuasi au wafuatiliaji) mtu anapo Subscribe Chanel yako maana yake amependa kufuatilia chaneli yako pamoja na Videos zako unazo post kwenye hiyo Chanel yako. ikimaanisha kuwa ukiwa na subscriber 10 ina maanisha hao watu 10 ndio watakuwa wa kwanza kuona post zako za videos punde watakapo ingia Youtube. Njia za kienyeji(zisizo rasmi)Unazoweza kutumia kuongeza subscriber. Njia hizi zita tegemea na mambo au habari zinazo husu hiyo Chanel yako unayotaka kuanzisha kama vile ni ya Muziki, Habari, Michezo  na kadhalika.   Anza kwa kupost au ku re post Habari za Mastaa,Wanasiasa au watu maarufu.                   Haapa nikimaanisha unatakiwa kucheza na wakati i mean kama channel yako wewe inahusu muziki basi jaribu kucheza na mastaa pamoja na habari z

Jinsi YouTube wanavyo lipa ???

Image
Je ulishawahi kujiuliza ni jinsi gani YouTube Huingiza Pesa??           YouTube huingiza Pesa kwa njia ya kuonyesha Matanga Kwenye Chanel yako ni kama vile Television Ya Habari au kituo cha Radio kinavyo ingiza Pesa Ndefu kupitia   MATANGAZO.  Basi Youtube nayo hufanya hivyo hivyo. Ni kwa njia gani basi hayo Matangazo huingiza Pesa. Kupitia Views Kupitia Subscriber Kupitia likes  ku click Matangazo (lakini hii usifanye wewe kwani wakigundua wata suspend chanel yako) Kutazama Matangazo kwa Muda Mrefu(Unaweza ukafanya lakini usi click Tangazo) Je wale wenye views nyingi kama Diamond Platnumz ndio hupata fedha nyingi zaidi? Ni views ngapi unazohitaji ile kuingiza fedha kwenye YouTube? Hili ni swali la kawaida ambalo watu huuliza na jibu lake litategemea na nani umemuuliza. Unaweza kuwa umesikia kuwa utaingiza dola moja kwa kila views 1,000 au $1,000 kwa views milioni moja. Wengine husema ni $5 kwa views 1000. Mtandao wa  videopower.org  unadai kuwa tunauliza swali lis

Important Way To Promote Your TouTube Chanel ? Must Watch

Image
Six out of 10 people  prefer to watch videos online rather than surfing channels on the small screen. And YouTube is the  second-largest search engine  next to Google. So it makes sense for brands to build their video presence on the platform. The only problem? It’s not always easy to get views on the content that you put so much time and resources into. Never fear—we’ve got some seriously smart and effective ways to promote your YouTube channel to increase your views and improve the ROI of your YouTube strategy. How to promote your YouTube channel 1. Optimize your YouTube content so that it ranks in search engines Search engine optimization (SEO) is important for your YouTube profile, channel, and individual videos. This is what will make your content discoverable in search rankings. YouTube’s algorithm takes multiple items into account when pulling videos for search results, so include as much information as possible. Know what keywords you want to rank for and include t

How To Increase YouTube Views and Subscribers Pro?

Image
There is nothing more satisfying than hitting a milestone with your videos.  One important one is your first 1,000 subscribers. This is important because YouTube offers live streaming once you have achieved this milestone and you have an account in good standing (Since the publishing of this post there has been a change: YouTube now offers live streaming for free for verified non-profit entities.  Instead of needing 1,000 subscribers you now need 100 subscribers.) Getting more subscribers can seem like a difficult task, but I’ll share 10 tips to help you get your first 1,000 subscribers. 1. Post Useful Content Consistently This is one of the most difficult things to do as a content creator.  If you take a look around YouTube you might think that every video under the sun has been created and that is most likely true, but you can put your own spin on a popular topic.  For example, there are many “unboxing” tech videos…what if you created a “reboxing” and talk about the various co