Jinsi ya ku promote YouTube Chanel Yako watu waka ifahamu kwa wingi ?

Image result for grow youtube channelKitu cha Umuhimu kabla sija anza kuongolea Njia za kuweza promote YouTube Channel yako watu waka ifahamu  kwa wingi nakukuongezea Views pamoja na Subscribe.
Kwanza ni wewe mwenyewe kuwa serious katika kuhakikisha haupotezi muda mwingi kungoja Views au Subscribe zikufuate wewe .
Watanzania wengi tuna utamaduni wakuingia kwenye Biashara hizi za mitandao kwa lengo la kujaribu  na sio kuanza kazi kama ziivyo kazi zingine hapo ndipo tunapo kosa userious katika biashara hizi za mitandao na kuambulia nothing.
Kitu cha Umuhimu katika Biashara hizi za Mitandao ni the way ulivyo serious ndivyo hivyo hivyo utakapo nufaika kulingana na u serious wako, Ukishatia nia ya kusema tu kwamba eti embu ni jaribu basi unakuwa kama unacheza kwasababu huwezi kuyaona mafanikio katika kazi hizi za mitandao kwa njia hiyo ya kujaribu.Image result for grow youtube channel

Ninapo Sema kuwa serious simaanishi kwamba uache shughuli unayo fanya  na hivyo basi nguvu zote ukazielekeza kwenye mitandao ,hapana bali naamanisha Unatakiwa ku draft ratiba yako kama unavyo draft ratiba za shughuli nyengine na kuweka muda wako ambao utakuwa una utumia kwa ajili ya YouTube .

Niukweli usio fichika kwamba YouTube ukienda nayo sawa unaweza ukaingiza zaidi ya Doller za kimarekani $3000 mpaka $10,000 kwa mwezi inategemea na Base yako na kujitoa kwako.(Source google top YouTube Earners)

Sasa Tuongelee  Njia Za Kupromote Youtube Channel Yako
 Kwanza Punde tuu baada ya ku upload video yako YouTube ,Utapewa link ya hiyo video yako ambayo ume i upload, nini cha kufanya baada ya kupewa hiyo link.

Baada ya kupewa hiyo link chini yake Utaona Social Network kibao ambazo YouTube wenyewe wanakushauri kuwa u share video yako kupitia hizo Social Network.

Chakufanya ni nini wewe kama mfanyabiashara wa mitandao

Ushauri wangu mimi kwako wewe unae anza Kutumia Youtube channel au unayo bali unahitaji ku develope in term of views and subscribe jiunge kwenye Social network zote za Umuhimu ambazo zitakusaidia katika kushare video yako na kukuongezea Views na Subscribe,

Mitandao kama ;

  • Google+
  • Facebook
  • Twitter
  • Whats app
  • Instagram
Image result for share your youtube channel via social networks
Pamoja na social network yoyote ile ambayo uta discover kuwa watu wengi huchat na kushare story humo

sasa baada ya ku upload Video yako YouTube Chukua link yako na uiandikie maneno matamu na mazuri juu ya hiyo video yako alafu una anza kuishare katika kila social network au group kwa group,
Usichoke wala kukata tamaa kwani mitandao ina pesa nyingi sana lakini mwanzo wake huwaga ni mgumu Kidogo kama ilivyo Shughuli nyingine. lakini kwa wachache wenye kutokukata tamaa ndio ambao huzifaidi fedha hizo watu wote maarufu kwenye YouTube Ambao wanatamba sasa hivi nao walianza hivi hivi sasa cha msingi usikate tamaa it is possible even for you too TUMIA NJIA HII ALAFU SHARE NASI WKENYE CHAT YETU MATOKEO YAKO ATAKAMA KWA SIKU HIYO HIYO MOJA LAZIMA UTAONA CHANGES KWENYE VIEWS AU SUBSCRIBE TOFAUTI NA KUTO KUSHARE HIYO LINK YAKO.

KWA MASWALI NA MAJIBU YA HAPO KWA HAPO TUME UPDATE APP YETU KWA KUWEKA SECTION YA KUCHAT NASI SO UNAWEZA  KUJI SAJILI APO NA KUANDIKA SWALI LAKO LOLOTE LILE NA UTAJIBIWA  KWA HARAKA ZAIDI.

                                              AHSANTE

Comments

  1. Nisaidieni kushare Download picha na video kutoka instagram https://youtu.be/cQatIQPmDPo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwenye Chanel yangu ya YouTube naitwa Mr Kay g naomba sapot yenu nduguzangu ili ifikembali. Kwa subscribe na ku like poa nakushea kwawengine

      Delete
  2. Boss naomba ufafanuzi zaidi kuhusu kuipata link ya video yangu YouTube kisha namna ya kuiweka YouTube haswa kwenye magroup. Ahsante

    ReplyDelete
  3. Je ili kufungua youtube channel na uanze kulipwa inabidi ujisali au ni njia gani inatumika

    ReplyDelete
  4. Sasa natuma video ya kuhusu nini ama naanza vipi kutumia hii blog yangu

    ReplyDelete
  5. Mkuu nielekeze namba ya kuandika tag

    ReplyDelete
  6. Hellow Mambo vip naimba kujua jinsi ya ku promote Chanel yangu

    ReplyDelete
  7. Yule waliosema diamond wa njombe huyu apa na maajabu yake
    Share subscribe watu wamtambue

    ReplyDelete
  8. Diamond msanii mpya wa njombe anajiita httpsnjombediamox tz subscribe uwe wa kwanza kupata ngoma yake wiki lijalo

    ://youtu.be/QwOpKdM4ELA

    ReplyDelete
  9. https://youtu.be/QwOpKdM4ELA
    Linki ya diamond wa njombe hii

    ReplyDelete
  10. Naomba msaada nikijarib kushare link ya youtube kwenda fb inagoma naomba msaada

    ReplyDelete
  11. Hi, it's me Baby Luna a musician from East Africa, Tanzania
    Signed under Africandream label
    I'm kindly asking for you to subscribe my you tube channel
    https://youtu.be/o9PC8cQKvSk

    ReplyDelete
  12. OK ushauri mzuri sana mi nimrfungua channel ya YouTube kama miezi mitatu imepita baada ya kufikisha watch time masaa 600 masaa yakaanza kupungua saivi yamefika mpaka masaa 96 sijajua tatizo nini mkuu

    ReplyDelete
  13. https://www.youtube.com/channel/UCKODR-5Ail50TZKwNZX8lfQ

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

Zijue Njia za Kienyeji katika Kuongeza YouTube Views na Subscriber ??

JINSI YA KUPIGA PESA NDEFU KUPITIA BLOG BUREE