Zijue Njia za Kienyeji katika Kuongeza YouTube Views na Subscriber ??
Tunapo Ongelea njia za kienyeji katika kuongeza Youtube Viewers na Subscribe nina maanisha njia zisizo rasmi zinazo weza kukuongezea View na Subscriber.
Subscriber ni nini.
Subscribe haina maana ya mbali sana na neno Followers (wafuasi au wafuatiliaji) mtu anapo Subscribe Chanel yako maana yake amependa kufuatilia chaneli yako pamoja na Videos zako unazo post kwenye hiyo Chanel yako. ikimaanisha kuwa ukiwa na subscriber 10 ina maanisha hao watu 10 ndio watakuwa wa kwanza kuona post zako za videos punde watakapo ingia Youtube.
Njia za kienyeji(zisizo rasmi)Unazoweza kutumia kuongeza subscriber.
Njia hizi zita tegemea na mambo au habari zinazo husu hiyo Chanel yako unayotaka kuanzisha kama vile ni ya Muziki, Habari, Michezo na kadhalika.
- Anza kwa kupost au ku re post Habari za Mastaa,Wanasiasa au watu maarufu.
Ndipo watakapo anza kwa ku subscribe Channel yako wakiamini kuwa huenda ukawa ni poster mkubwa sana wa msanii wao wanao mfuatilia.
Lakini kuwa makini ???!!! Ukitaka kufanya njia Basi usi i monetize chanel yako kwa muda huo au unaweza uka de active kwa muda monetization kwa ajili ya kuepuka copyright content kwenye chanel yako.
Nini Umuhimu wa kufanya hivyo.
Umuhimu wa kufanya hvyo ni kwamba unatengeneza watu ambao watakao kuwa viwers wako wakubwa katika channel yako ukiwa na subscriber wengi maana yake utakacho post kitaangaliwa na watu wengi katika kipindi cha muda mfupi.
Sasa ni bora ukaanza kuyatengeneza hayo mazingira mapema kabla hujaanza kuifanyia monetization hiyo chanel yako.
Ili itakapofika kipindi cha kuifanyia monetization Channel tayari unakuwa na uhakika wa kuwa na viewers wengi pamoja na kuingiza mpunga mwingi kwa siku kulingana na idadi ya viewers ulionao.
JE INATOSHA PEKEE KUPOST VITU VYA MASTAA NA KUPATA VIEWERS NA SUBSCRIBE NYINGI?????????????.
Jibu ni hapana haitoshi pekee kupost vitu vya mastaa na kupiga kimya kusikilizia viewers waje wenyewe , Ingawa ni kweli huja wenyewe lakini juhudi binafsi lazima zitumike kwa ajili ya kuonge kwa kasi hao Viwers na Subscribe kama upo Serious na kumake money YouTube.
Baada ya ku upload hiyo Video yako YouTube mwishoni utapata link ya hiyo video yako ambayo umei upload YouTube.
Itumie hiyo link kuisambaza katika Social Media kwa ma fans husika kwa mfano ukiingia Facebook uka search Team Kiba Au Team Wasafi,Mond au vyovyote apo ndipo paku share hiyo link yako pamoja na kuiandikia kaujumbe kaku vutia ili uwa vutie mashabiki wake ,na kwasababu wana mpenda basi wengi watakimbilia kuiangalia hiyo Videos ambayo umeipost kwa kuwa ina muhusu fans wao au Mwanasiasa wao.
Na hapo ndipo utakapo anza Ku enjoy Maisha ya YouTube.
Usiogope kuandika post au Habari yoyote ile kwa maana ukifikia hatua ya kufungua chanel YouTube au Blog ina maanisha wewe ni Mwandishi wa Habari hatakama hujasomea habari kwa maana YouTube wata kutambua kama Publisher.
Kama Utakuwa na Swali Au Huja Nielewa Sehemu Yoyote ile nipigie,text au whats app kwa namba 0718 332120.
NEXT POST TUTAONGELEA NJIA KUU MUHIMU ZA KUONGEZA VIEWERS NA SUBSCRIBER KWENYE YOUTUBE KWA LUGHA YA KISWAHILI. KWA WALE WANAO ELEWA KISWAHILI SABABU POST IPO NA NIME IANDAA KWA KINGEREZA KUTOKANA NA SIM NILIZO KUWA NIKIPOKEA KWA NDUGU ZETU WA KENYA NIGERIA NA ZAMBIA SO KUWA KARIBU NAMI. NA USI SAHAU KU RATE APP YETU
AHSANTE
Ahsante sana
ReplyDeleteGood
DeleteAhsante sana
ReplyDeleteTembelea chenall yetu ya youtube ya "YASMTAZ TV" na usisahau ku-subscribe
Ahsante sana
ReplyDeleteTembelea chenall yetu ya youtube ya "YASMTAZ TV" na usisahau ku-subscribe
sante sana visit jason min tv
ReplyDeleteA boy from Dodoma tz don't forget subscriber my YouTube channel John the prince
ReplyDeletePlease subscribe my channel ABELVIL TV
ReplyDeletehttps://youtu.be/a7y7oySxfaA
ReplyDeleteNice
ReplyDeleteTembelea Acaunt yangu
ReplyDeleteBaraka laizer king msai
derickndanzi23@gmail.com
ReplyDeleteNjoo katika account yanguu ya YouTube upatee beats kalii apdated afro beats search kwa kuandika drizo tz usisahau lusubscribe na kukoment
ReplyDeleteTo increase followers follow sharing techniques:
ReplyDelete1. Share videos on Facebook, Twitter, LinkedIn, Instagram
2. Share Videos on Whatsapp
3. Share videos on Telegram
4. Share videos on Blogs
5. Share videos on other videos comments
Sharing plays very big role to increase subscribers. On some niche it will not work when competition is very high or niche searches is very low. Then you can increase followers by ytfollowers.
https://youtu.be/xLivwBV8G8s
ReplyDeletekupata maujanja mengi kuhusu youtube tembelea๐๐๐๐ mngale tv usisahau ku subscribe
Karibuni tan tv Tanzania
ReplyDeletehttps://youtu.be/SYqNzjl_rf0
https://youtu.be/sv9CCBEqm94
ReplyDeletePlease subscribe my you tube channel: Baby Luna
ReplyDeletehttps://youtu.be/o9PC8cQKvSk
https://youtube.com/channel/UC9fLLEY_V_lrfrVWxRo-TrQ
ReplyDelete