Zijue Njia za Kienyeji katika Kuongeza YouTube Views na Subscriber ??
Tunapo Ongelea njia za kienyeji katika kuongeza Youtube Viewers na Subscribe nina maanisha njia zisizo rasmi zinazo weza kukuongezea View na Subscriber. Subscriber ni nini. Subscribe haina maana ya mbali sana na neno Followers (wafuasi au wafuatiliaji) mtu anapo Subscribe Chanel yako maana yake amependa kufuatilia chaneli yako pamoja na Videos zako unazo post kwenye hiyo Chanel yako. ikimaanisha kuwa ukiwa na subscriber 10 ina maanisha hao watu 10 ndio watakuwa wa kwanza kuona post zako za videos punde watakapo ingia Youtube. Njia za kienyeji(zisizo rasmi)Unazoweza kutumia kuongeza subscriber. Njia hizi zita tegemea na mambo au habari zinazo husu hiyo Chanel yako unayotaka kuanzisha kama vile ni ya Muziki, Habari, Michezo na kadhalika. Anza kwa kupost au ku re post Habari za Mastaa,Wanasiasa au watu maarufu. Haapa nikimaanisha unatakiwa kucheza na wakati i mean kama channel yako...