JINSI YA KUPIGA PESA NDEFU KUPITIA BLOG BUREE

Habari yako hapo ulipo jina langu naitwa Thomas Mouricy leo ningependa kukuelekeza trick au mbinu moja muhimu sana katika mfumo mzima wa kupiga ela online kupitia blogs.

Niukweli usio fichika ya kwamba blog nyingi kwa sasa duniani zimekuwa zikifanya vizuri sana mpaka kufikia hatua ya kufananishwa na website i mean a full domain name kwa upande wa Ulaya,Amaeika na nchi za Asia lakini kwa upande wa bara la Afrika hususa ni ukandaa huu wa kusini mwa jangwa la sahara biashara ya blogs haionekani kama ni yenye mafanikio sana miongoni mwa walio wengi, hii nikutokana na kukosa mwongozo mzuri juu ya kuzifanyia blog nyingi ishu ya monetiztion ,watu wengi wamekuwa waki force google adsense ambayo imekuwa na masharti magumu sana hususa ni kwa watumiaji wa Blogs.
Leo ningependa kuanza na wewe hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza blog mpaka kuifanyia monetization katika kampuni bora na ambayo inalipa vizuri publisher.

Ili mtu uweze kutengeneza blog kuna vitu ambavyo inabidi uanze kufungua kwanza ten ndio ufungue hiyo blog yenyewe ,vitu vyenyewe ni 
Gmail Account

google ndio inayo miliki gmail na ndio wanao miliki blogspot.

ili uweze kutengeneza blog nilazime u create account gmail au kama unayo account bas sign in kwenye account yako kisha fungua internet browser yako na uandike 
www.blogger.com   kisha utaona maelekezo yakikuambia anzisha blog au star blog.
basi utabonyeza Anzisha blog na kisha utafuata maelekezo .kwa maelezo zaidi kuhusu kufungua blug angalia video hii
  Baada ya kuitazama hiyo video na amini utakuwa umejifunza jinsi ya tengeneza blog yako pamoja kui dizaini vile upendavyo kutokana na maelekezo uliyo yapata.
sasa kama ulivyo tazama kwenye video hapo juu kwamba baada ya kufungua blog ni wakati wa kufungua account katika moja ya makampuni makubwa duniani ambayo yanahusika na ishu za monetiztion kwa blogs ha hii si nyingine bali ni POPADS unaweza kufungua account ya popads kwa kubonyeza hapa POPADS SIGN UP  kwa ajili ya usajili na kisha ningependa kukushawishi uiangalie hiyo vieo kwa umakini mkubwa jinsi ya ya  kujiunga na Popads

Popads ni nini ? Popads ni kampuni ambayo inapokea matangazo mbalimbali kutoka kwa watangazaji mbalimbali duniani na hivyo wangependa wewe ufungue blog yako kisha waweze kuwasilisha matangazo waliyo pokea kwa wateja walio kusudiwa kuwaona either kwenye blog yako or anywhere.
Kujisajilin na Popads ni Bure kabisa hakuna makato ya aina yoyote ile na nimiongoni mwa makampuni yanayo ongoza kulipa watu commision kubwa na kwa wakati endapo utafikisha kiwango cha chini au cha mwanzo cha kutolea pesa.

Jinsi ya kulipwa na Popads ? popads wanatumia njia nyingi kufanikisha mpango mzima wa malipo kwa wateja wao njia zenyewe ni kama vile Payoneer.

Payoneer ndiyo itakayo wezesha pesa yako ifike kwenye account ya benk ya nyumbani kwa usalama, Unaweza kujiunga na Payoneer online bure kwa kubonyeza hapa SIGN UP FOR PAYONEER  ni bure na salama na uhakika zaidi kuliko paypal.

KAMA UTAKUWA NA SWALI USISITE KUULIZA  NA NITA RESPOND KWA HARAKA ZAIDI. 

Comments

  1. Nitumie namba yako nikupigie nataka kukuuliza kiongoz

    ReplyDelete
  2. Nitumie namba yako na maongezi na wewe

    ReplyDelete
  3. Kati ya google AdSense na popads IPI ni bora zaidi?

    ReplyDelete
  4. Je unawez kutumi payoneer.. Kwa account za simu kama Tigo pesa N.k

    ReplyDelete
  5. Vipi bro naona ukiwa una sign up kweny POPADS nchi inakuwa ni south africa na haitaki kuchange

    ReplyDelete
  6. Nina maswali ya kukuuliza naomba namba yako

    ReplyDelete
  7. Unaweza tumia hata simart ya kawada mkuuu

    ReplyDelete
  8. nidaidie no yako tuwasiliane

    ReplyDelete
  9. Mkuu asante kwa somo zuri ,Mimi nimefungua blog Tayari hii hapa www.tenachew.com naomba nijiunge na kampuni hiyo ya matangazo ,Tayari nimefungua account yao ila nahitaji msaada sehemu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Vp mkuu tusaidiane hapo kwenye domain wew umeshapata www. Naomba namba zako namm ni blogger pia

      Delete
  10. Naomba unitumie vigezo au ukipata watu eangap ndo zinahesabu

    ReplyDelete
  11. Ndoa yangu ilikuwa karibu kufikia mwisho nilipoona maoni juu ya mtu anayeitwa Dr DAWN ambaye husaidia watu kuwarudisha wenzi wao na niliwasiliana naye kwa bahati nzuri kwangu aliniroga baada ya masaa 24 mpenzi wangu alirudi kwangu tangu wakati huo ndoa yangu imekuwa. amekuwa mtulivu asante kwa yote aliyonifanyia naweza kukuhakikishia kuwasiliana naye,
    yeye ni mjuzi wa maneno yafuatayo:
    * maneno ya mapenzi
    *miujiza ya ndoa
    * uchawi wa pesa
    * bahati nzuri
    * Vivutio vya ngono inaelezea
    * UKIMWI Tiba Uchawi
    * Pango la Casino
    * Mapango Yamelaaniwa Yameondolewa
    * Ulinzi Spell
    * Uchawi wa bahati nasibu
    * Maneno ya Bahati
    * Tahajia ya Uzazi
    * Pete ya Telekinesis
    WhatsApp: +2349046229159

    Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

Jinsi ya ku promote YouTube Chanel Yako watu waka ifahamu kwa wingi ?

Zijue Njia za Kienyeji katika Kuongeza YouTube Views na Subscriber ??